muda mwingine urembo ukizidi unaweza haribu ngozi ya uso. |
![]() |
kutumia vipodozi kuweka usowako vizuri inapendeza lakini baadhi ya vipodozi ni vibaya kwa ngozi zetu. |
ni moja kati ya dawa zinazotumika kuzifanya kope ziwe zimesimama na zenye kuvutia kwani hutumika wakati wa kuchana kope. |
matumizi wa dawa hiyo huzifanya zionekane kama hivi. |
kope bandia huwa na muonekano huu kabla ya kubandikwa kwenye sehemu husika, |